Kuhusu sisi
YetuNet ni mtoa huduma ya intaneti wa hapa nyumbani, Arusha. Tunaleta intaneti ya Wi-Fi ya bei nafuu karibu na unapoishi na kufanya kazi — unalipa kwa simu, unaunganishwa papo hapo.
Tunachotoa
- Vifurushi vya Wi-Fi vya saa, siku, wiki na mwezi — unanunua kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au HaloPesa, au vocha kwa wakala wetu.
- Intaneti ya kila mwezi ya nyumbani na biashara.
- App ya mteja: salio lako, vifaa vyako, speed test, risiti na msaada — mahali pamoja.
Ahadi yetu
- Bei wazi, bila gharama zilizofichwa.
- Msaada wa haraka kwa simu, WhatsApp au ndani ya app.
- Taarifa zako ni salama — soma Sera ya Faragha.
Wasiliana nasi
- Simu: +255 687 706 155
- WhatsApp: +255 687 706 155
- Barua pepe: [email protected]
- Sinoni Area, Arusha