YetuNet
Ingia

Arusha

Intaneti ya uhakika na nafuu kwa kila nyumba na biashara.

  • Unaunganishwa papo hapo ukilipa
  • Lipa kwa simu
  • Msaada wa karibu kwa Kiswahili na Kiingereza

Vifurushi kuanzia TZS 300

Pata muunganisho wa intaneti

Kwa ajili ya

Mtandaoni kwa dakika chache

Lipa na uunganishwe papo hapo, mchana au usiku.

Lipa kwa simu

M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au HaloPesa.

Kwa familia nzima

One package can serve several devices at the same time.

Msaada uko karibu

Timu yetu inajibu kwa Kiswahili na Kiingereza.

Kifurushi cha intaneti kwa kila mtu

Kuanzia TZS 300

Intaneti bila kikomo kwenye Wi-Fi yetu. Chagua kwa muda na idadi ya vifaa unavyounganisha: kifurushi kimoja kinaweza kutumika na vifaa kadhaa kwa wakati mmoja.

kitonga

kifaa 1

TZS 300

  • Dakika 90
  • 4 Mbps
  • 5 GB

Nunua ukiwa kwenye Wi-Fi yetu: unganisha, fungua ukurasa wowote na ulipie kwa simu.

Nusu siku

kifaa 1

TZS 500

  • Muda wa mtandaoni Saa 6
  • 4 Mbps
  • 15 GB

Nunua ukiwa kwenye Wi-Fi yetu: unganisha, fungua ukurasa wowote na ulipie kwa simu.

siku_nzima_24hrs

kifaa 1

TZS 1,000

  • Muda wa mtandaoni Siku 1
  • 10 Mbps
  • 30 GB

Nunua ukiwa kwenye Wi-Fi yetu: unganisha, fungua ukurasa wowote na ulipie kwa simu.

Siku_tatu

kifaa 1

TZS 2,500

  • Siku 3
  • 15 Mbps
  • 60 GB

Nunua ukiwa kwenye Wi-Fi yetu: unganisha, fungua ukurasa wowote na ulipie kwa simu.

Wiki

kifaa 1

TZS 5,000

  • Wiki 1
  • 15 Mbps
  • 100 GB

Nunua ukiwa kwenye Wi-Fi yetu: unganisha, fungua ukurasa wowote na ulipie kwa simu.

Mwezi Solo

kifaa 1

TZS 18,000

  • Siku 30
  • 20 Mbps
  • Bila kikomo (FUP 200 GB)

Nunua ukiwa kwenye Wi-Fi yetu: unganisha, fungua ukurasa wowote na ulipie kwa simu.

Mwezi Duo

vifaa 2

TZS 30,000

  • Siku 30
  • 20 Mbps
  • Bila kikomo (FUP 400 GB)

Nunua ukiwa kwenye Wi-Fi yetu: unganisha, fungua ukurasa wowote na ulipie kwa simu.

Mwezi Family

vifaa 4

TZS 40,000

  • Siku 30
  • 20 Mbps
  • Bila kikomo (FUP 800 GB)

Nunua ukiwa kwenye Wi-Fi yetu: unganisha, fungua ukurasa wowote na ulipie kwa simu.

Tunachofanya

Timu moja kwa intaneti na teknolojia yako: tunakuunganisha, na tunatengeneza, kufunga na kutunza vinavyotumia intaneti hiyo.

Intaneti ya Wi-Fi

Vifurushi vya hotspot kwa saa, siku, wiki au mwezi, kwa kifaa kimoja au familia nzima, unalipia kwa simu.

  • Vifurushi vya kifaa kimoja, viwili au zaidi
  • Lipia kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au HaloPesa
Unganishwa

Intaneti ya nyumbani na biashara

Muunganisho wako mwenyewe nyumbani au ofisini, kwa fiber (FTTH) au wireless, kwa kifurushi cha mwezi.

  • Fiber hadi nyumbani na ofisini (FTTH)
  • Wireless pale ambapo fiber haifiki
Unganishwa

Utengenezaji wa website

Website za biashara, shule, makanisa na taasisi: tunazibuni, kuzihifadhi (hosting) na kuzisasisha.

  • Website za kampuni na taasisi
  • Maduka ya mtandaoni na kurasa za booking
Omba nukuu

Ufungaji wa CCTV

Kamera za ulinzi kwa nyumba, maduka na ofisi, unazoangalia kwenye simu popote ulipo.

  • Kamera za IP na analogi, ndani na nje
  • Kurekodi (NVR/DVR) na kuangalia kwa simu
Omba nukuu

Ufungaji wa mtandao

Nyaya, Wi-Fi na vifaa vya mtandao kwa ofisi, shule, hoteli na nyumba.

  • Nyaya za mtandao na network points
  • Wi-Fi ya ofisi, hoteli na kampasi
Omba nukuu

Huduma za kompyuta

Matengenezo, usanidi na msaada kwa kompyuta, laptop na printa.

  • Matengenezo na kuongeza uwezo (upgrade)
  • Kuweka Windows, Office na programu
Omba nukuu

Jinsi ya kulipa

Vifurushi vya Wi-Fi vinalipiwa kwa pesa ya simu kwenye ukurasa wa Wi-Fi yetu; hakuna akaunti ya kufungua wala pesa ya kutuma kwa mkono.

  1. 1

    Unganisha kwenye Wi-Fi yetu

    Chagua mtandao wetu kwenye simu au laptop; ukurasa wa vifurushi utafunguka wenyewe.

  2. 2

    Lipa kwa simu

    Chagua kifurushi, weka namba yako ya pesa kwa simu na uthibitishe kwa PIN.

  3. 3

    Tumia papo hapo

    Vocha yako inaonekana kwenye skrini na inatumwa kwa SMS. Unaunganishwa moja kwa moja.

Vocha kutoka kwa wakala

Unaweza pia kununua vocha iliyochapishwa kwa mmoja wa mawakala wetu na kuandika namba yake kwenye ukurasa wa Wi-Fi.

Vifurushi vya mwezi vya nyumbani na biashara

Kabla ya kila kipindi tunakutumia SMS yenye kiasi na jinsi ya kulipa. Ukilipa, muunganisho wako unaendelea papo hapo.

Intaneti ya kasi inakusubiri

Tuambie ulipo. Tunakutembelea, tunakushauri na kukufungia.

Ongea nasi

Kwa muunganisho mpya, nukuu ya huduma yoyote, au msaada kuhusu intaneti yako. Tuambie ulipo: tunakutembelea, tunakushauri na kukufungia.